Msaada wa mawazo

Msaada wa mawazo

mr mkwawa

Senior Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
146
Reaction score
295
Natumaini wote ni wazima wa afya, dhumuni kubwa la uzi huu ni kwamba. Nina mdogo wangu amechaguliwa Mzumbe Main Campus kozi ya Public Admnistration in local Government Management (BPA LGM).

Sasa mimi naomba niulize hii kozi ni zuri kwenye suala la ajira. Maana huyu mdogo wangu amesema iko vzuri ila mimi nataka niwe na uhakika zaidi. Kwahiyo Yeyote mwenye kuifahamu hii kozi na kada zake vizuri naomba anisaidie kuifahamu vizuri.
 
Natumaini wote ni wazima wa afya, dhumuni kubwa la uzi huu ni kwamba. Nina mdogo wangu amechaguliwa mzumbe main campus kozi ya Public Admnistration in local Government management (BPA LGM)...
Ajira siku za hivi karibuni limekuwa janga la taifa, lakini kila mja na hatima yake hakuna anayejua. Aende akasome tu kwa bidii afaulu vizuri. Ajira kila fani siku hizi ni changamoto ingawa zipo fani zenye unafuu.
 
Sawa, vp kuhusu kada za hii kozi , unazifaham
 
Natumaini wote ni wazima wa afya, dhumuni kubwa la uzi huu ni kwamba. Nina mdogo wangu amechaguliwa mzumbe main campus kozi ya Public Admnistration in local Government management (BPA LGM)...
Mkuu mbona mwandiko unafanana na wa mdogo wako?
 
Inaonekana huwa wanaajiriwa serikalini tu ila upande wa private sector amna kada zao sio
NGO's zipo atakapofika chuoni atapata muongozo huko kuhusu hatima yake kwa kaka zake na wale ambao wanasoma lakini tayar wapo kazini.
 
Kuna mdada alisoma hio kozi hapohapo Mzumbe, alipomaliza hakupata kazi Government wala Private akaona asome Masters uenda ikasaidia ila bado hakupata kazi...
Kwa namna nilivyokuelewa ni kwamba hii kozi aina ajira kabisa sio
 
Ajira zake ni kama utendaji wa kata, afisa tarafa na kazi za namna hio. Ni lazima uajiriwe serikalini. La sivyo utafanya na NGOs ila huwezi kujiajiri kama sheria au udaktari.
Sawa nmekuelewa .
 
Upate uhakika kwani ni wewe ndiyo unayeenda kusoma...
Hapana,ila mm ni kaka yake na ndio kama mlezi wake , ila ningependa kujua zaidi kuhusu kozi hiyo kwahyo kama unafaham lolote naomba unimbie
 
Natumaini wote ni wazima wa afya, dhumuni kubwa la uzi huu ni kwamba. Nina mdogo wangu amechaguliwa mzumbe main campus kozi ya Public Admnistration in local Government management (BPA LGM) , sasa mm naomba niulize hii kozi ni zuri kwenye suala la ajira. Maana huyu mdogo wangu amesema iko vzuri ila mimi nataka niwe na uakika zaidi. Kwahiyo Yeyote mwenye kuifaham hii kozi na kada zake vizur naomba anisaidie kuifaham vzuri.
Kwani kuna shida gn ukisema ni ww? anyway hii kozi haina coverage ya kutosha kwenye suala la jira inategemea zaidi kuajiriwa na ukija kuangalia tatizo la ajira kwasasa ni bora kuopt kozi yenye coverage pana
 
Nimekuelewa.
 
Natumaini wote ni wazima wa afya, dhumuni kubwa la uzi huu ni kwamba. Nina mdogo wangu amechaguliwa mzumbe main campus kozi ya Public Admnistration in local Government management (BPA LGM) , sasa mm naomba niulize hii kozi ni zuri kwenye suala la ajira. Maana huyu mdogo wangu amesema iko vzuri ila mimi nataka niwe na uakika zaidi. Kwahiyo Yeyote mwenye kuifaham hii kozi na kada zake vizur naomba anisaidie kuifaham vzuri.

Mkuu si useme tu ni wewe... Kwani kuna shida gani.?
 
Hiyo kozi kuna demu wangu amemaliza mzumbe,imebidi tu aajriwe kama secretary kwenye shule flani ya English medium.
 
Mkuu si useme tu ni wewe... Kwani kuna shida gani.?
Ha ha ha..ila JF kiboko.
 
Back
Top Bottom