Msaada wa Mawazo

Kuna binti amejenga urafiki na wife siku za karibuni, sasa ameanza kamchezo ka kunipigia sm na kunambia maneno yanayoelekea kunishawishi nimlambe. Swali nimpe mambo au nimwache.

Zingatia amri ya sita
 
Chunga ndoa yako kaka maana penzi ni kikohozi, utakuja kunogewa mwisho wa siku utavunja ndoa yako. Waswahili wana sema ''Visoga vikamalaga'' yaani vizuri haviishi.
 
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako - ila ni kazuri... mda mwingi kanakuwa nyumbani kwangu - mara kamsaidie wife kazi za hapo home.. kwa ujumla kananiweka katisha vishawishi

Wewe kapotezee, hako kanataka kutafuta unafuu wa maisha tu.
 
Hii kali, kwahiyo wewe kila binti mzuri utakayemuona unataka kumlamba, basi kazi unayo .............
 
Kwa upumbvu wako unaleta mastory yasiyokuwa na maana. Umeshamlamba siku nyingi sasa unaleta gozi gozi hapa. Heshima ni kitu cha bure. heshimu familia yako na mkeo siku zako zipate kuhesabika.

Huo mswada mplekee mkeo na muonyeshe message zake. Kwanza ulipataje namba ya hako ka binti? ukijibu hili mshitaki kwa mkeo kwamba anakutamani.

Kushney!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom