Msaada wa mawazo wanaume wenzangu..

Msaada wa mawazo wanaume wenzangu..

Mikhail Tal

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
463
Reaction score
816
Wanaume wenzangu nahitaji msaada, ni muda sasa nahisi kama performance yangu kwa bed kwa kweli sio nzuri.

Haswa ikizingatiwa mimi bado kijana halafu kwa shot nnazopiga naona kabisa hata mzee wa miaka mingi anaweza kunizidi (hazina quality) Kitu ambacho nahisi simtendei haki kijana mwenzangu.

Sana sana nna tatizo la pumzi halafu nawahi sana...

Nimeamua nianze huu mwezi kujitafakari na nimemweleza kimwana wangu anipe mda kama miezi miwili hivi nione kama naweza weka mambo sawa.

Kwa hali ilivo na namna huyu mwanamke alivo mrembo naona kuna risk huko mbele ya kuja kugongewa ndo maana nimedhamiria kuchukua haraka na za dharura.

Ila sasa ningependa ushauri kutoka kwenu maana kwanza nataka binafsi nibadili system ya maisha
1) Kwenye misosi (diet).. Hapa nahitaji msaada wa vyakula gani vya kutumia ili viniimarishe ... Ningependa kupata list maana sasa nimejipanga kupanga bajeti kabisa ya diet.

2) Mazoezi... Hapa pia nataka ushauri wa mazoezi gani ya kuyazingatia.. Binafsi nimeanza na mazoezi ya kuongeza pumzi.. Sana sana push up, squat na kata tumbo na kuruka kamba.. Ntaomba nyongeza pia hapa...


Ningeomba nyongeza ya msaada wa mawazo maana nnajipa mwezi mmoja na nusu ama miwili wa diet na mazoezi then nije kutest outcome itakuwaje.. So kama kuna nyongeza ningefurahi zaidi..

... Wanawake pia mnaruhusiwa kuchangia maana mnatuelewa zaidi..

Asanteni sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwezi hautoshi,angalau miezi mitatu!

Suluhisho kubwa ni kuweka saikolojia yako vizuri tu..hauna tatizo,

Acha kufikilia sana pesa,sababu kama umeshaoa inamaana kwasasa inabidi ufikirie familia zaidi kuliko pesa,maswala ya pesa tuachie sisi ambao hatujaoa.

Pendelea sana kula sea foods,nuts na mboga za majani.

Mazoezi fanya sana squashi na kuruka kamba.
 
kwenye vyakula wanashauri ule ambavyo havijakobolewa au kukaangwa sanaa ugali Dona, mihogo, viazi, maharage mabichi, mbog za majani kwa wingi zichemshwe kidogo, matunda
ila hapo kwa mdada usimtese tafuta plan B yakukeep mindset yake busy asije tafuta mchempuko mtoe out nyingi ila kwenye public place uvumilivu usije ukawashinda
 
Ukitaka kwenda mbio ndefu bana pumzi "usiache mdomo wazi" punguza woga uwapo uwanjani!

young kilimanjaro
 
Hahaha. Wanaume idea hiyo ikitikisika kidogo mnakuwaga wapoleeeehata uambiwe mkojo wa punda dawa utakunywa kama mma.
 
Kama kweli unahitaji msaada hebu kwanza toa historia yako.

1. Chanzo cha tatizo lako hasa unahisi ni nini? Kisukari, pressure, mlo mbaya au punyeto.

2.huwa unaenda round ngapi? Na kila round inachukua Muda gani? Na ungependa uwe unaenda round ngapi na kwa muda gani?

Jibu hayo juu ili tuone tunakusaidiaje mwanaume mwenzetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom