Msaada wa Mawazo wanabodi nimedsco chuo.

Msaada wa Mawazo wanabodi nimedsco chuo.

UDSM ni zamani enzi ya maziwa
Sasa hivi normal
Vijana wanategemea madesa mpaka kwenye mitihani
 
Nimesoma udsm na kweny suala la kuappeal mkuu sijawah kuona mtu kafanikiwa kwenye hilo ata siku moja kwan wanachoamin mpak wamekupa matokeo yako ni kwamba yashapita kila idara na ikitokea ukakubariwa kurud chuo n umehonga

Kurud kwa kuappeal sahau

But unapenda kurud chuo tena??nijibu ili nikupe ushaur
 
Back
Top Bottom