Msaada wa Mawazo wanabodi nimedsco chuo.

Msaada wa Mawazo wanabodi nimedsco chuo.

Apply tena upya afu badirrisha kozi.,. Nimeona tangazo la TCU la kuruhusu waliodisco kuapply upya leo. Au ongea na lecturers wako kwanza afu ndo uapeal.
 
Conas kuna course gani ngumu pale acha blah blah....

Kama mtu anashindwa kufaulu kwa multiple choice.. matching item tena kwa average ya 40 kama passmark...

Je 50 atafikisha kweli, embu tujaribu kuwa serious kidogo....
Kama wewe ni graduate wa SUA basi haipaswi nikushangae kwa kupaita pagumu kwa kejeli zako hizi kwa hiyo unaona multiple choice ni kitonga sana? Waulize wanaosomaga maanatomy MUHAS huko wanajua habari za multiple choice! Halafu kwa ugumu wa course ni wewe mwenyewe unaichukuliaje course husika ila kwa wewe hata ualimu tu ungekushinda pale Conas
 
Umedisco UDSM?? UDSM hii hii niijuayo..??
Acha uzembe dogo...
Nenda CBE, TIA, TEKU. UDSM ni chuo rahisi sana ni uzembe kudisco kwa system ya GPA...
Yaani kijana kanisikitisha hivi yangekuwa masomo ya term si angepata zero kabisa sermister miezi 3 test week accumulations bado uko bellow nyie ndo mnasumbua kusoma coz za walimu na mnanyoa viduku njoo mtaani kwanza kama miaka miwili ukirudi chuo utakuwa serious
 
Kama wewe ni graduate wa SUA basi haipaswi nikushangae kwa kupaita pagumu kwa kejeli zako hizi kwa hiyo unaona multiple choice ni kitonga sana? Waulize wanaosomaga maanatomy MUHAS huko wanajua habari za multiple choice! Halafu kwa ugumu wa course ni wewe mwenyewe unaichukuliaje course husika ila kwa wewe hata ualimu tu ungekushinda pale Conas
Jamaa anazani conas mtelemko
 
mkuu usikate tamaa systeam ya udsm ilinitema mwaka 2015 na sikuamini kilichotokea ila nashukuru Mungu alinipa moyo wa ujasiri nikasahau japo haikuwa rahisi na niliondolewa kwa departimental GPA ngumu kumeza nikiwa na GPA yangu above 2. ila kichwa nililiwa tena semester ya pili coz mbili ziliingia kama utani nikala sap moja nikiwa na coarse work ya 27 nikapigwa E kwenda kusapua ngoma likadoda ikarudi E huwezi kuamini GPA Ikawa imekosa baraka za department kwa maana ya Departmental GPA haikufika japo ilikuwa juu ya mbili nikadisco. Mkuu mwanaume sugu hachoki nipo shule namalizia degree yangu ya Geology now.. Go back to school mkuu yote yanapita.. BE STRONG, BE REAL, BE A MAN.. rudi shule.
 
Ww fala wacha kulinganisha udsm home of intellectuals na huo uchafu wako.tz chuo ni kimoja tu.udsm
Una disco vipi chuo? Tena udsm? Sasa ingekua SUA ingekuaje? Alafu ukute ulikua unasoma kozi za arts au education!!

Ukijiloga kuapply utapotezo muda wako maana ushakiri ulifeli kwa uzembe wako! Mtaani usithubutu kugusa maana jiwe kaharibu kila kitu...

Fanya fasta apply kozi ingine hapo hapo udsm uanze upya... Shukuru ume disco mwaka wa kwanza unge disco mwaka wa tatu au nne ndio ungetia akili!!
 
Anza upya, presumably uko under 22..komaa uanze chuo kingine na koZi mpya. Mm nlidisco nikaanza upya saiiv niko nakula maisha kuliko waliofauru moja kwa moja
 
Kanuni ya maisha mazuri inasema: ukishindwa jambo kunali matokeo kisha achana nalo. Simple tu mkuu

Usijilaumu wala kulaumu wewe fanya kurekebisha makosa tu mfano kutamani vitu usivyo na uwezo navyo, uzembe au starehe kwa wingi.

Hakika moja ya ivyo vitu ndio kimekufanya uka disco sasa kubali jifunza usije disco haya maisha ya mtaani.

KARIBU!.
 
Sasa unakuta mtu ana disco course ya Social protection halaf diploma.. unamshaur nn huyo?
 
Ndo wale waliozani chuo ni kwenda kutumia boom tu na kugegeda watoto wazur

Pole sna mkuu ila dah umewadisapoint wazee wako
 
Jamaa anazani conas mtelemko
Huko udsm wastani wenu ni 40, utalinganisha vipi na sua yenye wastan wa 50?

Udsm aliyepata A ya 80 ni sawa na aliyepata A ya 100, kwa lugha nyepesi ukiwa na A zote una gpa ya 5.0!!

Sua ukiwa na A zote unaweza jikuta una gpa ya 4.1!!

Umeelewa?
 
Ww fala narudia tena wacha kufananisha chuo kikuu cha taifa na uchafu wako.

Sent from my SM-G900P using JamiiForums mobile app
Kuna kipindi tulikua site, walikuja wanafunzi wa field, walikuepo wa dit, udsm na st joseph.

Kazi ikaanza, nikawagawa wale wanafunzi kwenye makundi. Nikaanza na wa dit nikampa kazi akamaliza. Ilipofika wa udsm nikabaki mdomo wazi na kishangaa maajabu niliyokua naona!!

Mwanafunzi anatarajia kuwa injinia wakati hajui hata drawings?

Nikawaza sana, ila nilichokuja gundua, japo sio wote ila wanafunzi wengi wa udsm kichwani ni weupe sana.

Wengi wanaendekeza ujinga chuoni.

Ndio maana hata sikushangaa uandishi wako mbovu maana na wewe najua utakua product ya udsm.
 
Back
Top Bottom