msaada wa mawazo wakuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa mawazo wakuu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by bigjeff, Nov 26, 2009.

 1. b

  bigjeff Senior Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 105
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nilikuwa wakuu nataka ninunue tyre fitting machines nilete hapo nyumbani niweze kufanya biashara,nipo mbali na nyumbani kwasasa lakini naweza kupata msimamizi , nilikuwa naomba mawazo kwa waliopo nyumbani vitu gani naweza kuviongezea kwenye biashara hiyo vikawavutia wateja na pia na jua biashara hizi zipo kila kona lakini nataka niwe tofauti kidogo.
  Plz naomba mawazo kwa wanajasilimali .
   
 2. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,118
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Ee bwana mi sina mawazo bali nakupa thumb up. Nafarijika sana kuonawajasiriamali kama wewe hasa wanaoanza taratibu. Au kabla sija-send hii post yangu ninakaji ma-wazo kamenijia ghafla. Ongeza na wheel alignement na balancing siku za usoni. Uwe unajaza pia upepo. Tengeneza pancha ilimradi mtu akija hapo kwako anapata service karibia zote. In a long run unaweza hata anzisha garage hapo. Kama nimetoka nje ya mada natanguliza samahani.
  Ni hayo 2.
   
 3. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 888
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nadhani siyo garage labda Petrol Station ndo inaendana zaidi pia hapo baadaye anaweza fungua duka la kuuza tyres na hata spare parts za magari anaweza anzia na vitu vya kufanyia service za magari kama oil/fuel filters, aina mbalimbali za oil. car wash nayo si mbaya kuunganisha na hizo biashara
   
 4. b

  bigjeff Senior Member

  #4
  Nov 26, 2009
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 105
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  nashuruku wakuu thts why i love this site
   
 5. M

  Mundu JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2009
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,720
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nunua na vijarida vya customer service, uje uwafunde watendaji wa hiyo service station. Mana huduma kwa wateja huku ni tatizo haswa. Bongo mteja hana thamani. Katika biashara hiyo, ukijua jinsi ya kumpa mteja huduma maridhawa hakika utawini.

  Ni hayo tu toka kwangu, mana unaweza ukawa na mashine first class, ukawa na location bomba kama utatusahau sie, utakuwa unapata hela ya mboga na kuganga njaa tu. Karibu home.
   
 6. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Machine za kuoshea magari ukiongezea itavutia zaidi
   
 7. b

  bigjeff Senior Member

  #7
  Nov 27, 2009
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 105
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  asanteni wakuu
   
 8. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,465
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Hivi bongo kuna sehemu kuna mashine za kuoshea magari??Nadhani kama mkuu akipeleka hiyo tu basi hamna haja ya kufungua tena kitu kingine hiyo tu inatosha sana yaani!!
   
 9. E

  Edo JF-Expert Member

  #9
  Nov 27, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mwembechai ipo mashine ya kuonshea magari, nadhani pia kuna na sehemu zingine mbili au tatu. Pamoja na nia njema, suala la watendaji ni jambo gumu mno nchi hii kuliko hata huo mtaji. Pili, jamani wafanyakazi wa nchi hii ni wezi kwelikweli-hasa walioenda shule kidogo. Kwa hiyo, kabla ya kununua hivyo vifaa, hakikisha unafanyia kazi suala la watendaji-mfumo gani utaweka kuhakikisha huduma nzuri kwa wateja na jinsi gani utazuia wizi. Nasema haya kwa sababu ndiyo ugomvi wangu na wa tz wenzetu.
   
 10. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2009
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  That is the real point.Lakini pia kwa baadhi inachangiwa na mabosi, kama ilivyo serikali ya Tanzania hawapandishi mishahara hata mapato yakiongezeka.Motisha ni muhimu wambie kipato kikipanda kwa kiasi fulani mishahara yao nayo itapanda.ukiwa mgumu ndo morality inapungua, uwizi unaanza.
   
 11. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #11
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  Hivi wakuu machine za kuoshea magari zipo za specs zipi na zipi, na zinapatikana wapi na makadirio ya bei zake ni zipi? taa imewaka kichwani, kuna kichaa wangu mmoja alikimbia shule, sasa ameamua kuosha magari nadhani akili zimeshamjia nikimpatia machine kama hii itamsaidia sana! Tafadhali wakuu
   
 12. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #12
  Dec 4, 2009
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,402
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280

  Mkuu big up kwa kutaka kuwa mjasiria mali.

  Nadhani umepata mawazo mengi nini kifanyike lakini kabla ya kuvifanya hivyo vyote take trouble ya kufanya Market Research kwenye maeneo uliyopewa ushauri au hata na mengine.

  Kumbuka unanunua machine, unazisafirisha, utakodisha sehemu na mambo mengine (hivi costs are non recoverable in a way). Hivyo ni bora ukatumia walau 1000Usd ukafanya Rapid market Appriasal kujua unachotaka kukifanya kitakulipa. Vinginevyo unaweza kupata hasara kubwa.

  Kama utahitaji hiyo huduma wasiliana nasi kwa email info@gmconsultz.com ama +255 715 737302 na +255 715 737302. Karibu na hutajutia thamani ya hela yako.
   
Loading...