kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 418
Mbuzi unawanunua wapi?Achana na milioni 16, utapasuka kifua bure
Tafuta laki 3-5 anza biashara ya kununua na kuuza mbuzi.
mbuzi wa elfu 50 unakuja kuuza elfu 80 mpk laki na nusu.
Baada ya hapo uwe na heshima kwa kila mtu
Vijijini unaleta.mjini.Mbuzi unawanunua wapi?
Nipo dar ila nina acces na masaini huko...eneo linaitwa naibili sanya huko..Vijijini unaleta.mjini.
unapatikana wapi shemeji tushauriane zaidi
Nenda Tanga vijijini huko ndio mbuzi wa Bei Poa wanapatikana.Nipo dar ila nina acces na masaini huko...eneo linaitwa naibili sanya huko..
Tunanunua na kuuza kwa bei ya chini tena baada ya kukaa nao kidogo.faida sijaiona bado
Asante sana mkuuAchana na milioni 16, utapasuka kifua bure
Tafuta laki 3-5 anza biashara ya kununua na kuuza mbuzi.
mbuzi wa elfu 50 unakuja kuuza elfu 80 mpk laki na nusu.
Baada ya hapo uwe na heshima kwa kila mtu
Minada ipo Tanzania nzima. Anza kuchunguza mkoa ulipo, masoko yakoje na unaenda uza wapiAsante sana mkuu
Je mbuzi hao nawapata mnada gani?
Je unaweza nieleza chochote kuhusu hii biashara?Nenda Tanga vijijini huko ndio mbuzi wa Bei Poa wanapatikana.
kisha njoo uuze Dar kwa wauza supu na kwingineko
Mm nipo arushaMinada ipo Tanzania nzima. Anza kuchunguza mkoa ulipo, masoko yakoje na unaenda uza wapi
Nenda kwenye masoko ya.mbuzi yaliyoko karibu yako kafanye utafiti mkuu usisubiri hapaJe unaweza nieleza chochote kuhusu hii biashara?
Mfano mnada wa mbuzi wa Bei nzuri na sehemu ya kuwauza
Pia Kama una rafiki au ni wewe mwenyewe utakayenisaidia au kuniongoza kwenye hichi kipindi Cha ugen?
Sawa mkuuNenda kwenye masoko ya.mbuzi yaliyoko karibu yako kafanye utafiti mkuu usisubiri hapa
Mm nikipata heka Moja tu itanitoshaNina idea kama hii ya kwako, nimeongea na classmate wangu mmoja ni diwani huko, ameniambia maeneo mengi ni heka mbili ndiyo yanapatikana ki rahisi. Hitaji language ni heka tano.
Ukiwa na bata, Wachina wakijua wanakuja kuchukua wenyewe shambani.Mm nikipata heka Moja tu itanitosha
Tatizo ni hilo nililoahinisha hapo juu
Asante sana mkuuSalamu nimeipokea....
Naanza hv;
Mosi mtegemea cha nduguye hufa maskini, hivyo huyo unaemtegemea akusaidie ktk hio project, usimpe 100% coz watu hawaaminiki hasa unapokuwa huna kitu.
Pili Project iliyopo akilini mwako ni kubwa sana, kiasi kwamba huwezi kuanza nayo, kwa sababu kuu mbili;
∆ Hauna uwezo wa kusimama ww kama ww kimtaji (kutokana na maelezo yako)
∆ Hauna uzoefu nayo hata kdg. Ikumbukwe kuwa ujasiriamali n kubeti i.e kuna matokeo hasi or chanya.
USHAURI
Anzia hapo ulipo.
Anza na miradi midogomidogo itakayokupa nguvu ya kuelekea kwenye project uloikusudia.
Pamoja sanaAsante sana mkuu
Hii ni paint ya msingi sana kwangu
Bei poa kama shingapNenda Tanga vijijini huko ndio mbuzi wa Bei Poa wanapatikana.
kisha njoo uuze Dar kwa wauza supu na kwingineko