ni ngumu
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 4,292
- 7,211
Kuna aina ya watu wanapenda mara moja nadhani huyo mwanamke yupo category hiyo..
Amini nakwambia inawezekana ndo ushamkosa huyo...
Mimi binafsi usaliti mmoja tu unatosha kabisa kuvunja mahusiaano na mtu au kuacha kumpenda km mwanzo na kumtoa kbs katika plan yangu ya maisha ndo mana ni Very selective na wanawake naotembea nao
Kuna watu wanajua kupenda na wanapenda kweli ila hawajui kusamehe,Ogopa sana kujichanganya kwenye hilo kundi huyo hata ungekuwa umeoa si ajabu ndoa ingekuwa na misukosuko hata miaka 5 na misukosuko ikitulia bado mapenzi yanakuwa sio km mwanzo....
Kwenye kuoa jitahidi sana Uoe mwanamke anayeachia vitu maana mwanamke asipokuwa na moyo huo,ndoa kufa ni sekunde tu.Hapo umeelezea mahusiano yenu yalikuwa mazuri sana lkn hapo hapo umesema ulikuwa unatongoza mwanamke mwingine,kwako km mwanaume unaona ni sahihi tu sababu unayempenda unaye hivyo ulikuwa unataka wakugonga Na kuacha Sasa kuna wanawake sio wanafiki hata chembe umemuanisha mapenzi yenu ni bora mwaka mzima hlf leo hii anagundua sio kweli....
Kinachomsumbua huyo mwanamke ni ukweli kwamba pamoja penzi lenu kuwa tamu ila hawezi kukuamini moja kwa moja.Hilo linatosha kbs kuharibu penzi.