Msaada wa mawazo marafiki zangu wazuri

Msaada wa mawazo marafiki zangu wazuri

Uhusiano wenu kwa sasa umekosa uaminifu na heshima.

Ukitaka kurestore hivyo viwili fika ofisini kwangu mtaa wa Congo round about ya Msimbazi kwa ajili ya therapy.

Au nicheki kwenye simu ili niwafanyie online therapy. Charges are friendly.
Ukishindwa kutumia fursa we ni fala ~ Antony Lusekelo (Bulldozer)
 
Mwambie yupo huru, akitaka kusepa asepe, akitaka abaki pia fresh....ni yeye tu na roho yake.
 
Kama unaweza chukua vitu vyako kila mmoja aendelee na maisha yake.

Kuna watu akikuamini kupita kiasi then akagundua unamdanganya hawez kukuamini tena,
Mimi pia nilishika simu ya mtarajiwa wangu nikakuta sms chafu sana na wanaume wengine
Sijawahi mwambia hadi leo ila nilimuondoa kabisa kwenye mipango yangu na kwa sasa imebaki story tu tena kwa mbali.
So nadhani yaliomkuta mtu wako ni sawa na yalonikuta mimi.
 
Uhusiano wenu kwa sasa umekosa uaminifu na heshima.

Ukitaka kurestore hivyo viwili fika ofisini kwangu mtaa wa Congo round about ya Msimbazi kwa ajili ya therapy.

Au nicheki kwenye simu ili niwafanyie online therapy. Charges are friendly.
Wazee wa fursa...mko kila mahali kama oxygen 😅
 
Napenda kwenda moja kwa moja katika mada. Nipo kwenye mahusiano yang yapata miaka miwili kwa sasa, kwa bahati mbaya au nzuri kipindi tunaanza mahusiano na huyu mtu wang ndio muda huo ambapo nilipata transfer ya kwenda masomoni hivyo mahusiano yetu yamekuwa ya kipindi cha likizo zaidi.

Nakili nimewahi kupenda jamani lakini sijawahi kumpenda mtu kama ninavyompenda mchumba wangu huyu. Maisha yetu yamekuwa ya amani sana mpaka ikafika kipindi nikaona vyema tuunganishe vyombo ili kupunguza ukali wa gharama kulipia nyumba niliyopanga wakati siishi kwa kipindi hichi ambacho niko masomoni.

Tukafanikiwa kuunganisha vyombo pamoja.kwa mwaka mzima tulikuwa na furaha na amani sana katika mahusiano yetu. Siku moja wakati nipo likizo alichukua simu yangu na kuanza kuifanyia ukaguzi bila mm kujua. Kwa bahati mbaya kuna binti ambae sikua katika mahusiano nae lakin nilikuwa namtongoza. Akaichukua namba na kuanza mawasiliano na yule binti bila mm kujua.

Mwisho yule binti akanichomea kuwa nina mahusiano nae wakati halikua jambo la kweli.baada ya kugundua hilo Nilijitahidi sana kutumia nguvu kubwa mno kumwomba msamaha akanielewa lakini kwa shida sana. Tangu hapo maisha yetu ya mahusiano yakawa ni kama ya kuigiziana. Akitenda kosa nikimuonya anakuwa mkali ule upendo nauona kabisa haupo lakini mm ndiye ninayelazimisha upendo.

Nimekuwa nikimfanyia vitu vya kumuweka karibu lakini naona kwa upande wake ni kama ule upendo wa awali haupo kabisa bali analazimisha tu.kuna kipindi natamani niachane nae lakin nafsi yangu kumpoteza haiko tayari kabisa najipa moyo huenda baada ya mm kumaliza masomo na tukiwa karibu atabadilika. Mwezi uliopita kabla sijaanza maandalizi ya kurudi chuo kumalizia masomo yangu kwa mwaka wa mwisho Alichukua simu yangu kama kawaida na kuangalia namba zilizokuwa na mawasiliano na mm zaidi.

Akachukua namba ambazo ni za wanafunzi wenzangu ambao sikua na mahusiano nao lkn tulikua tuna mawasiliano ya karibu. Wengi wao waliponijulisha juu ya kutafutwa kwao na mchumba wangu sikujisikia vizuri sana ikabidi nimuulize juu ya alichokifanya kwa bahati mbaya akawa mkali hanisikilizi na hata heshima ile ya mwanzo inapungua kwa kiwango kikubwa sana na sasa sio kupungua tu ila inaporomoka sana.

Nimefanikiwa kuondoka na kurudi masomoni mawasiliano yetu yakiwa sio mazuri sana na wiki moja tu baada ya kuanza masomo nikapata ujumbe kutoka kwake kwamba kwa sasa ule upendo na mm hana kabisa anajiona yupoyupo tu na kama nina uwezo nitafute mwanamke mwingine. Hii kauli imenifanya nime shake kwa kiwango kikubwa sana.

Kuna muda najipa ujasiri nikubaliane nae lakin nawaza nimpe muda labda ni hasira na amani yetu itarudi. Kuna muda pia nawaza niondoe vyombo vyangu hata nihifadhi kwa watu baki lakin bado napata kigugumizi juu ya hilo. Naomba ushauri wenu wa mawazo marafiki zangu wazuri ni kipi cha maana naweza nikakifanya kwa sasa huu mwaka wa mwisho niliobakiza wa masomo? Mungu awabariki sana
Sina la kukushauri zaidi ya kukwambia...

"Ukiachwa achika"

Siku nyengine ukijua mtu anakupenda kupita kifani utaacha mambo ya kiswahili!
 
Kama unaweza chukua vitu vyako kila mmoja aendelee na maisha yake.

Kuna watu akikuamini kupita kiasi then akagundua unamdanganya hawez kukuamini tena,
Mimi pia nilishika simu ya mtarajiwa wangu nikakuta sms chafu sana na wanaume wengine
Sijawahi mwambia hadi leo ila nilimuondoa kabisa kwenye mipango yangu na kwa sasa imebaki story tu tena kwa mbali.
So nadhani yaliomkuta mtu wako ni sawa na yalonikuta mimi.
Asante sana rafiki mzuri
 
Sauti husikii hata picha haioni?!
 
Kama unaweza chukua vitu vyako kila mmoja aendelee na maisha yake.

Kuna watu akikuamini kupita kiasi then akagundua unamdanganya hawez kukuamini tena,
Mimi pia nilishika simu ya mtarajiwa wangu nikakuta sms chafu sana na wanaume wengine
Sijawahi mwambia hadi leo ila nilimuondoa kabisa kwenye mipango yangu na kwa sasa imebaki story tu tena kwa mbali.
So nadhani yaliomkuta mtu wako ni sawa na yalonikuta mimi.
Ukivunja uaminifu katika mahusiano yako ,,Basi tena ni ngumu sana kurudisha ile imani kuwa ww ni mwaminifu, ni vizuri sn kulinda ile imani ya mpenzi wako anayokuamini. Mi pia nikishajua si mwaminifu, ile imani ikiondoka, kuendelea kukupenda ni ngumu sn. Ata kama nitakuwa na ww Ila hutakaa kuona lile tabasamu la zamani .
 
Hakika ni kweli
 
Back
Top Bottom