Ahsante kwa mawazo mazuri ndg yanguHata ukilazimisha au kuendelea kusubiri hakuna kitu kitabadirika cha zaidi na yeye ataliwa then utaumia zaidi hapo we kubali matokeo akiona anakuhitaji atakutafuta
Huyo ni mwanaume anakuwaje mzuri tena!!Daaah ahsante rafiki mzuri
Tatizo hili naweza kukiliWewe ni Mario? Kwa nini ulihamia kwa mwanamke? Hujampiga hata mimba?
Asante kwa mawazo mazuri mzee babaMUHIMU tafuta maisha kwanza. Achana na haya mahangaiko ya muda. Wewe wapitie tu usiwaingize moyoni. Hata huyo manzi angeona uko vizuri kimaisha wala asingezingua. Kama unabisha hili utachelewa sana,na watakuzingua sana,utakuwa unaanguka kwenye mapenzi huku huna kitu,utaendelea kulialia hapa. Kila kitu maisha ya sasa hela asikudanganye mtu. Tafuta hela uone hata mapenzi yatakavyokuwa mepesi
Ukituliaga unaandika vya maana.Rafiki yetu mzuri mimi kikubwa nimejifunza kitu.Nimejifunza chanzo cha mahusiano mengi kuvunjika ni kumpenda mtu sana.Kumpenda mtu sana huzaa wivu.Wivu humpeleka mtu kwenda kupekua simu ya mwenzake na kufanya mengineyo mengi yanayofanana na hilo.Kupekua simu ya mwenzako huua mahusiano.
Mwenye kosa hapo ni huyo binti na kosa lake ni kukupenda bila kiasi.Kiashiria kikubwa kuwa alikupenda bila kiasi ni wivu alioonyesha alipoamua kupekua simu yako.Mimi girlfriend wangu wote huwa nawapenda kwa kiasi na kutokana na hilo wala sijawahi kuwaza juu ya kupekua simu zao.Kuna mmoja nilimpenda kupita kiasi basi mahusiano yetu hayakudumu hata mwezi mmoja.
Hitimisho:Ukitaka kuvunja mahusiano yako au ukitaka kumkosa mtu basi mpende kupita kiasi.Kumpenda mtu kupita kiasi ndiyo njia fanisi kupita zote ya kuvunja mahusiano au kumkosa mtu.
Well saidRafiki yetu mzuri mimi kikubwa nimejifunza kitu.Nimejifunza chanzo cha mahusiano mengi kuvunjika ni kumpenda mtu sana.Kumpenda mtu sana huzaa wivu.Wivu humpeleka mtu kwenda kupekua simu ya mwenzake na kufanya mengineyo mengi yanayofanana na hilo.Kupekua simu ya mwenzako huua mahusiano.
Mwenye kosa hapo ni huyo binti na kosa lake ni kukupenda bila kiasi.Kiashiria kikubwa kuwa alikupenda bila kiasi ni wivu alioonyesha alipoamua kupekua simu yako.Mimi girlfriend wangu wote huwa nawapenda kwa kiasi na kutokana na hilo wala sijawahi kuwaza juu ya kupekua simu zao.Kuna mmoja nilimpenda kupita kiasi basi mahusiano yetu hayakudumu hata mwezi mmoja.
Hitimisho:Ukitaka kuvunja mahusiano yako au ukitaka kumkosa mtu basi mpende kupita kiasi.Kumpenda mtu kupita kiasi ndiyo njia fanisi kupita zote ya kuvunja mahusiano au kumkosa mtu.
Ahsante mkuuAcha uboya.
Ngoja niwape darasa.
Mwanamke akisa neno lolote linalohusu kutaka muachane fanya kama anavyosema haraka. Tena usimtafute tena.
Utakuja kunishukuru
Rafiki yetu mzuri mimi kikubwa nimejifunza kitu.Nimejifunza chanzo cha mahusiano mengi kuvunjika ni kumpenda mtu sana.Kumpenda mtu sana huzaa wivu.Wivu humpeleka mtu kwenda kupekua simu ya mwenzake na kufanya mengineyo mengi yanayofanana na hilo.Kupekua simu ya mwenzako huua mahusiano.
Mwenye kosa hapo ni huyo binti na kosa lake ni kukupenda bila kiasi.Kiashiria kikubwa kuwa alikupenda bila kiasi ni wivu alioonyesha alipoamua kupekua simu yako.Mimi girlfriend wangu wote huwa nawapenda kwa kiasi na kutokana na hilo wala sijawahi kuwaza juu ya kupekua simu zao.Kuna mmoja nilimpenda kupita kiasi basi mahusiano yetu hayakudumu hata mwezi mmoja.
Hitimisho:Ukitaka kuvunja mahusiano yako au ukitaka kumkosa mtu basi mpende kupita kiasi.Kumpenda mtu kupita kiasi ndiyo njia fanisi kupita zote ya kuvunja mahusiano au kumkosa mtu.
Pole sana sana.Kweli malipo ni hapa hapa duniani ndg yng ngoja nipambane na hli
Pole sana katika wakati huu wewe kuwa newtral tu yaani mguu ndani mguu nje " akirejea kwako sawa Au akiamua kuachana na wewe sawa tu
Shukuru kwamba yet ndiye amekuja na hiyo argument ya kuachana na wewe if ingetokea kwamba wewe ndiye umeamua kuwa muachane angekuona kuwa ni mtu mbaya "na angediriki kukupa majina yote mabaya " unachopaswa kufanya Kama kweli huna hatia ni wewe kujipongeza kwamba katika mahusiano yenu mliyokuwa nayo wewe ulijitahidi kwakila hali na kali kuwa positive hivyo "Basi hauna cha kupoteza kwa kuwa haujawahi kuwa negative
SawaHatia anayo bwana.
Alitongoza bidada ila alikuwa bado hajakubaliwa, na bidada akamkomesha akadai wana mahusiano.
Haupangi wala kuamua ila siku ukiadhibiwa kwa kumpenda mtu kupita kiasi ndipo utajifunza ya kwamba kumbe inawezekana kupanga/kuamua kumpenda mtu isiyo vuka kiasi.Mimi nilimpenda girl wangu wa kwanza kupita kiasi kipindi hicho nipo chuo na kutokana na kumpenda kupita kiasi nilimkosa immediately.Hivi kupenda kupita kiasi ama kidogo unapanga? Ama Unaamua?