Msaada wa mawazo katika kuanzisha blog

ubelito

Senior Member
May 19, 2015
169
259
Waku habari zenu ni matumaini yangu mpo poa

Niende kwenye mda moja kwa moja nina mpango wa kufungua blog yangu hii ni kwajir ya kuongeza kipato pia nina muda wa kufanyia kazi iyo blog mana muda mwingi nakuwa nashinda na pc yangu

Shida inapokuja ni ipi nzuri kati kufungua blog kwa tumia

Blogger au WordPress

Kupost contents za kiswahili au kingereza

Je, google Adsense wanaweza nipa matangazo yao nikipost contents za kiswahili?

Pia ni vigezo gani vinahitajika kupata matangazo ya google na itanichukua muda gani kuyapata

Je, kama ntatumia domain ya blogspot.com bado ntakuwa na nafasi ya kupata matangazo kutoka kwa google au sehemu zingine,, mana naona michuzi yy anatumia blogspot tu?

Naomba msaada kwa mwenyewe ufahamu mzuri kuhusu ivyo vitu pia na mchango mwingine wa mawazo kama kipo cha kuongeza nitashukuru sana
 
Tumia blogspot kama huwezi kununua domain, kwa kiswahili hapana angalia kuna list ya lugha ila kiingereza good sana, blogspot utapata mkwanja lakini kwa effort hiyo hiyo ukitumia wordpress mkwanja unakua zaidi kdg hiyo ndo difference ya hosted na non hosted accounts, pia kupata account hata kwa siku 1 unaweza pata yaani within 24 hours or longer hata miezi mpaka uwe fundi mitambo.
 
Back
Top Bottom