hi jf,mimi ni kijana ninayetamani sana kupata katika maisha ili tatizo langu ni mtaji mdogo nilionao kwani mpaka sasa nina laki 7 tu na cjui niuzungushe vipi angalau uongezeke kidogo,nilichofikiri mpaka sasa nimefikiri nijumue nguo hasa hizi jezi la chelsea na man u ili nikauze minadani huko sumbawanga vijijini,kwa wale waliowahi au wanaoishi sumbawanga kibiashara naomba msaada wenu wa mawazo tu,au nifanye nini kingine?mimi niko mbozi vijijini huku minada ni midogo