Habari wanajukwaa! Nimeitwa interview nafasi ya Afisa Mtendaji naomba hints kwa aliyewahi hudhuria hii interview ya hii nafasi. Natanguliza shukrani kwako.
Kumbe tayari mchakato ushaanza!? Kuna mpwa wangu aliaply huko na akanunua kabisa kazi eti anaambiwa mchakato bado hata kutuma maombi ni kwa mkoa wa Tabora.
Tafadhali mlioko Tabora ishu zimefikia wapi juu ya nafasi za kazi ya afisa mtendaji!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.