kadada wa pili
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 201
- 108
Habari Ndugu zangu.kama Kichwa kinavyojieleza naihitaji kujua mashine Nzuri itakayotoa photocopy na kuprint ambayo itafaa kwa matumizi ya nyumbani. Nina HP 1515 series Ila matumizi ya catrage yamekuwa ghali Sana. Msaada tafadhari nikijua na bei itakuwa vizuri. Asanteni