Wakuu habari naombeni ushauri na maoni yenu kuhusu hii chuma ya mwingereza maana inanivutia na ndo gari ya ndoto yangu msaada Wa uimara wake pamoja na changamoto zake ukizingatia Mimi ni mkulima na mda mwingi Niko porini na vipi kuhusu spea na matengenezo yake hasa ikiwa ni diesel version natanguliza shukrani zangu.
Tatizo moja ni classic cars ni upatikanaji wa spare parts, haswa kama parts hizo hazitengenezwi tena na manufacturer. Tatizo linaongezeka kama unakaa Tanzania, ambako 3D printing ya car parts bado haijafika.