Wakuu bila salamu ningependa kuuliza/kuomba msaada wa maelekezo najua kwatanzania paypal inazingua kutoa hela ila sina uhakika ikiwa kama inazingua kwenye kuweka.
swali langu ni kwamba je nawezaje kulipia program ya gavana kwa kutumia paypal na je inawezekana kuweka voda visa bila shida kwenye paypal?
hiyo ni program ya biashara mkuu inaitwa gavana inatunza taarifa zote za biashara madeni na madeni ya nje ya biashara, mwelekeo wa biashara faida na hasara na kila kitu Gavana
hiyo ni program ya biashara mkuu inaitwa gavana inatunza taarifa zote za biashara madeni na madeni ya nje ya biashara, mwelekeo wa biashara faida na hasara na kila kitu Gavana