Ni Mimi Hapa
Member
- Aug 22, 2025
- 14
- 25
Wakuu bila salamu ningependa kuuliza/kuomba msaada wa maelekezo najua kwatanzania paypal inazingua kutoa hela ila sina uhakika ikiwa kama inazingua kwenye kuweka.
swali langu ni kwamba je nawezaje kulipia program ya gavana kwa kutumia paypal na je inawezekana kuweka voda visa bila shida kwenye paypal?
swali langu ni kwamba je nawezaje kulipia program ya gavana kwa kutumia paypal na je inawezekana kuweka voda visa bila shida kwenye paypal?