Aisee Puppa. Bahati hyo haiji mara mbili. Askuambie mtu dunian ya sas hivi kitu kinacholipa ni kipaji na kama huna kipaji ndo utakomaa na elimu. Waeleze chuoni kinaga ubaga kuwa mambo yakibuma huko uendako utarudia mwaka.
Kuna mchangiaji mmoja hapa kambeza Hashim ila kiuharisia mshahara wake wa wiki moja tu unalisha ukoo wake mzima na hawaumalizi... Ndg kitabu kipo na wala hakina expire date ila kipaji kina expire date. Ebu fikiria unamaliza chuo then unapangiwa kufanya kazi kijijini na mazingira yenyewe ya kazi ndo hivyo hapo kipaji chako utakuwa umekizka, elimu bongo ni zero utajikuta unatamni Uwe mwanasiasa.
Shituka mapema aisee wakati ndo huu.