WanaJF, naombeni msaada wenu
Nimeoa mwaka jana, na nampenda sana mke wangu, nampenda sana, lakini toka mwaka jana sijabahatika kupata mtoto, ingawaje kuna siku nilimkuta analia, nikamuuliza unalia nn akasema, ameingia kwenye siku zake while ana hamu ya kupata mtoto, nikamwomba a-calm down though hata mm iliniuma sana.
Hatujaenda bado hosp, lakini naombeni msaada kama kuna watu mna xperience na haya mambo kabla sijaenda hospitali, na tumevizia siku za hatari lakini wapi, please, naombeni msaada wenu wapendwa, natamani sana mtoto.
Asante
TAHADHARI,,,,,Unywaji wa dawa pasipo kupimwa ili kufahamu tatizo ni HATARI ZAIDIWanaJF, naombeni msaada wenu
Nimeoa mwaka jana, na nampenda sana mke wangu, nampenda sana, lakini toka mwaka jana sijabahatika kupata mtoto, ingawaje kuna siku nilimkuta analia, nikamuuliza unalia nn akasema, ameingia kwenye siku zake while ana hamu ya kupata mtoto, nikamwomba a-calm down though hata mm iliniuma sana.
Hatujaenda bado hosp, lakini naombeni msaada kama kuna watu mna xperience na haya mambo kabla sijaenda hospitali, na tumevizia siku za hatari lakini wapi, please, naombeni msaada wenu wapendwa, natamani sana mtoto.
Asante
......msitafute! ...kama furaha inavyokuja, wakati wake ukifika mwenyezi mungu atajaalia mtoto.
Mshawahi kujiuliza kwanini mnamuhitaji mtoto? Ndoa yenu bado changa sana, msikaribishe tensions.
Kwanza pole sana kijana mwenzangu maana najuwa hali hii ni ya kila mmoja ila isipo kukuta inabidi umshukuru Mungu kwa yote.
Mm ningependa kukushauri,ukamuone daktari coz hata tukitoa ushauri hauta lingana na ule atao kupatia daktari kwakuwa yeye ndiye mwenye kujua matatizo haya zaidi
Pole sana na jipe moyo ndugu yangu,mambo yatakuwa sawa tu mkurugenzi wangu wala usiogope kwa hilo.
Nenda CCBRT kamuone Dr.Almas atakusaidia,usinywe dawa yeyote kabla haujajua tatizo.
nashukuruni sana ndugu zangu, japo ni muda mfupi lakini mmenifariji na kunitia nguvu, leo asbh nimeongea na mke wangu tumeshauriana kwenda hosp ccbrt kumuona doctor almas kama mmoja wa mwana jamvi alivyotushauri. Tupo njiani. Nashukuru sana wapendwa. Nitakuja kuwapa majibu. Kazi njema