msaada wa kuweka Internet password | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa kuweka Internet password

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by maishapopote, Jul 3, 2012.

 1. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  Wakuu hebu naomba mnisaidie hili..
  ninatumia internet ya TTCL ile ya unlimited,nalipa kwa mwezi hapa ofisini kuna computer tatu na yangu mara nyingi ndo inatumika wengine wengi wanakua wanapiga field work.
  Juzi kaja jamaa mmoja akawa anafanya kazi yake hapa..ila cha kushangaza alipojaribu kuconect internet through wireless ilikubali fasta

  kwa hiyo jamaa akanishauri niweke password inawezekana watu wengi wa jengo hili wanaitumia internet yangu,
  sasa kimbembe ni kuwa sifahamu namna ya kuweka network password iwe secure,natumia modem ya ZTE (ZXV 10 W300 Series) msaada wakuu
   
 2. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu umeniwakilisha pia, I face the same need, maana najua kuna Watu in proximity wanafaidi mgongoni.
   
 3. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Kizuri ule na mwenzio teh teh teeeh...............waacheni nao wafaudu.
  Krapka davinooooo
   
 4. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  hakikisha computer yako umeunganisha na internet kupitia hiyo device alafu angalia gateway ambayo computer yako inatumia alafu nenda ktk browser yako na type hiyo gateway kwenye address bar itakuletea username na password nadhani hapo ipo default ambayo ni 'ADMIN' utaweka hiyo sehemu zote ya username na password na baada ya hapo utaingia moja kwa moja kwenye setting hapo tafuta kwenye setting za wlan then unachagua WEP au WPA na utaweka password then unaclick SAVE,
  Angalizo: kuwa makini na unachofanya maana unaweza korofisha setting nyingine na ukakosa internet na ukalazzimika kuwaita tena ttcl
   
 5. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  shukrani nitaijaribu baadae.
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Hiyo niliyo highlight kwa alama nyekundu ndio nini?? shule kidogo please
   
 7. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Ktk taskbar karibu saa kuna network icon hapo right click alafu select status na itafunguka dialogue box ambayo utaona mambo mengi kama ip, subnet, gateway na dns sasa wewe chagua gateway ambayo inaweza kuwa ktk mfumo huu '192.168.1.1' au '192.168.0.1' sasa hiyo tumbukiza ktk address bar kwenye browser yako
   
Loading...