Msaada; INTERNET CAFE connection failed! HASARA NAKUFA KIMAISHA

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,807
1,225
cc Chief Mkwawa

Baada ya kumaliza second degreee nimeanzisha internet cafe ya pc 3.... Kaz hamna, nimejiajiri!!

mwanzon nilikuwa natumia TTCL sasa imefeli, cna namna! cpati msaada wa kiufundi! last time alikuja fundi akabadilisha modem... lakin wapi#

swali! hapa nilipo tigo inapatikana 3g, je naweza kuunganishwa kwa Broadband ili nifunge internet ya nguvu??? nusaidiene kuokoa biashara yangu..... kuhama kutoka Ttcl wired niende Tigo Wireless!
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,776
2,000
kaka kama una wateja wa kubrowse tu tigo haina neno maana vifurushi vyao ni unlimited kwenye kubrowse ila kama wanastream hao wateja tigo haitakufaa. sijawahi skia eneo tigo wana 3g voda na airtel wasiwe nazo.

hebu angalia kama voda na airtel wana 3g au hawana
 
CYBERTEQ

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
7,358
0
cc Chief Mkwawa

Baada ya kumaliza second degreee nimeanzisha internet cafe ya pc 3.... Kaz hamna, nimejiajiri!!

mwanzon nilikuwa natumia TTCL sasa imefeli, cna namna! cpati msaada wa kiufundi! last time alikuja fundi akabadilisha modem... lakin wapi#

swali! hapa nilipo tigo inapatikana 3g, je naweza kuunganishwa kwa Broadband ili nifunge internet ya nguvu??? nusaidiene kuokoa biashara yangu..... kuhama kutoka Ttcl wired niende Tigo Wireless!

Mkuu mbona unajipa wakati mgumu sana?!! Internet cafe bila wewe au mhudumu wako kuwa na knowledge japo kiasi ya computer kwa ajili ya kushughulika na troubleshooting itakuwia vigumu mkuu! Vipi inakulipa kweli na hizo pc zako tatu, au kuna huduma zingine unatoa? Sorry, nilienda odd topic kidogo, back to mada; Kwa uzoefu wangu ni lazima watu wanastream na kudownload vitu japo once in a while, ukiweka kabundle kako ka tigo ka mwezi utashangaa jamaa mmoja amekatandika ndani ya saa moja bila ya wewe kujua!!! Kibiashara hiyo mitandao ya mobile itakuzingua, labda ufanye mambo ya uchakachuzi! Kwani TTCL ina matatizo gani hapo kwako, eleza kidogo huenda tukakushauri, wewe uko maeneo gani, TTCL ndiyo cheap zaidi mkuu, na cafe nyingi wanaitumia!
 
kwemsangazi

JF-Expert Member
Jun 18, 2013
251
225
Pole Paschal, nakubaliana nawewe ni kweli TTCL wanakatisha sana tamaa katika swala zima la kutatua tatizo kwa mteja kwa haraka.

Mimi nilihama huko siku nyingi nasasa natumia vodacom ile bundle ya 40, 000 kwa mwezi, ofisini nina pc 5 na WLAN imewezeshwa kwa wateja wa laptop.

Kwa kifupi huwa inafanya vizuri tu kwa eneo nililipo isipokuwa nimewabana watumiaji wakubwa wa bandwidth kwa kuwalimit wanapodownload.
 
Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,807
1,225
Pole Paschal, nakubaliana nawewe ni kweli TTCL wanakatisha sana tamaa katika swala zima la kutatua tatizo kwa mteja kwa haraka.

Mimi nilihama huko siku nyingi nasasa natumia vodacom ile bundle ya 40, 000 kwa mwezi, ofisini nina pc 5 na WLAN imewezeshwa kwa wateja wa laptop.

Kwa kifupi huwa inafanya vizuri tu kwa eneo nililipo isipokuwa nimewabana watumiaji wakubwa wa bandwidth kwa kuwalimit wanapodownload.Ahsante kwa maelezo! Niko Lindi, nisaidie vifaa vya kufunga net. Kwan siwez kutumia modem za kawaida hiz.... hapa Tigo ndio ina kasi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom