Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 662
- 606
Wanandugu naomba mnisaidie. Wapi naweza kudowload hizi nyimbo za miaka ya 90, moja inaimbwa "Shambani,shambani,shambani shambanii mazao bora shambaaani. Tushike jembe shambaaani,wananchi tukalime......."
Na mwengine ni huu " Mpeleke mtoto shule,akapate elimu eee utafaidikaaa kwa maisha yakoooo"
Na mwengine ni huu " Mpeleke mtoto shule,akapate elimu eee utafaidikaaa kwa maisha yakoooo"