ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
- Thread starter
- #21
wameandika A8Kwenye about phone wameandika model gan?
wameandika A8Kwenye about phone wameandika model gan?
Hiyo inatakiwa uwe na akaunti ya samsung iliyosajiliwa hiyo simu. Ni kama I cloud ya iphoneHabarini wakuu!
Tafadhari naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya ku unlock Samsung 4G LTE! Nikiwasha inaniandikia please enter your privacy protection password to unlock your phone! iwe na Line au isiwe nayo inaniandikia hivyo! Pia nimejaribu kuhold power button na volume down button inaniletea ku reboot nafanya hivyo lakini inakaa kidogo inanirudisha tena kwenye PIN code ku enter tafadhari
Sio kwel, kwanza samsung account kweny MTK wapi na wapiHiyo inatakiwa uwe na akaunti ya samsung iliyosajiliwa hiyo simu. Ni kama I cloud ya iphone
Kasema ni samsung mkuu. Hebu rudiaSio kwel, kwanza samsung account kweny MTK wapi na wapi
Soma thread nzima...ni samsung lakini ni mtk ambayo tayar ni copyKasema ni samsung mkuu. Hebu rudia
PoapoaSoma thread nzima...ni samsung lakini ni mtk ambayo tayar ni copy
Ukikwama kabisa nenda kwa mafundi wenye mabox ya mtk wataflash hyo simu.wameandika A8
Una pata 'no command' error kule kwenye recovery mod?ndio mkuu nikiwasha nikikaa kidogo inajirudi tena kama kawaida na simu yangu haina memory card mwishon mwa yale maneno wananiambia no command