Msaada please: Samsung galaxy siii

Godlisten Masawe

Godlisten Masawe

Verified Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
738
Points
0
Godlisten Masawe

Godlisten Masawe

Verified Member
Joined Jul 20, 2011
738 0
Wana Tech habari zenu;
nina samsung galaxy sIII nimesahau sreen lock na email (gmail), ila imeniletea option inasema
"If you forget your Google sign-in details, you can enter your backup PIN to unlock"
hizo back up PIN sina kwasababu hii simu niliinunua mkononi kwa mtu na huyo mtu siwezi onana naye yeye anaishi Nairobi mimi naishi arusha.
kama kuna njia yeyote naweza kuitumia naomba msaada wenu wana jamvi
 
Root

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
29,917
Points
2,000
Root

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
29,917 2,000
Nenda kwenye PC na open ur email via PC kama umesahau pin au password nenda forgot my password ukareset.
 
mkuu nimeenda uko, inaleta incorrect username or password, kibaya zaidi sikumbuki username wala password
 
Root

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
29,917
Points
2,000
Root

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
29,917 2,000
Unataka ireset? Yu can do it if you want to do that
 
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
17,075
Points
0
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
17,075 0
Wana Tech habari zenu;
nina samsung galaxy sIII nimesahau sreen lock na email (gmail), ila imeniletea option inasema
"If you forget your Google sign-in details, you can enter your backup PIN to unlock"
hizo back up PIN sina kwasababu hii simu niliinunua mkononi kwa mtu na huyo mtu siwezi onana naye yeye anaishi Nairobi mimi naishi arusha.
kama kuna njia yeyote naweza kuitumia naomba msaada wenu wana jamvi
Mawasiliano yaliokuwepo leo Tanzania inaskitisha kusema hivyo. Si useme kweli tu, ya wizi?
 
Godlisten Masawe

Godlisten Masawe

Verified Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
738
Points
0
Godlisten Masawe

Godlisten Masawe

Verified Member
Joined Jul 20, 2011
738 0
Mawasiliano yaliokuwepo leo Tanzania inaskitisha kusema hivyo. Si useme kweli tu, ya wizi?
Ya wizi wewe ndio uliyeiba? hacha undondocha wewe, mimi ni mfanyabiashara, hii simu aliniuzia dada muudumu wa hotel nairobi alikua na mashida yake nikamttatulia
 
N

notifeki

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Messages
319
Points
195
N

notifeki

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2013
319 195
Download android jelly bean 4.1.2. Uiformat upya hiyo simu yako kwenye computer kupitia odin. Kama huwezi leta nikusaidie.
 
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
17,075
Points
0
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
17,075 0
Ya wizi wewe ndio uliyeiba? hacha undondocha wewe, mimi ni mfanyabiashara, hii simu aliniuzia dada muudumu wa hotel nairobi alikua na mashida yake nikamttatulia
Na hiyo hoteli huijui jina wala anuani yake? Ulikuwa unapita njia? Hata kwenye stakabadhi zao hakuna namba za simu?

Huyo muhudumu kaiba hiyo simu na wewe umenunuwa mali ya wizi.
 
Wi-Fi

Wi-Fi

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
2,089
Points
2,000
Wi-Fi

Wi-Fi

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
2,089 2,000
Ingia google u-search how to bypass screen lock on galaxy s3 then utapata tutorial za namna ya kufanya but its my guess itafuta documents kama vile picha,music au hata contact, that said ni vizuri kutoa line na memory card kipindi ina-reboot.. ninatumia simu ningekuwekea process
 
chinga4

chinga4

Senior Member
Joined
Mar 18, 2013
Messages
131
Points
225
chinga4

chinga4

Senior Member
Joined Mar 18, 2013
131 225
Bonyeza kwa nguvu batan ya kuzimia/kuwashia, ya sauti na Navigation key(ya kat kat ) zote bonyeza kwa wakat mmoja mpaka cm ijzme, afta hapo itajreset upyaaa. Na itaaaanza upya.
 
Godlisten Masawe

Godlisten Masawe

Verified Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
738
Points
0
Godlisten Masawe

Godlisten Masawe

Verified Member
Joined Jul 20, 2011
738 0
wakuu, nimeshafaniliwa, asanteni sana kwa msaada wenu
 
Forum statistics

Threads 1,283,901
Members 493,869
Posts 30,805,508
Top