Msaada simu inawaka kupitia Recovery baada ya ku-root

Msaada simu inawaka kupitia Recovery baada ya ku-root

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Naomba msaada guruz katika hili jukwaa
Nime root simu ya Samsung Grand prime kupitia Odin 3.07
Sasa Game nikiwasha tu lazima ipitie recovery mode afu nikichagua "Reboot now" ndo inawaka kawaida na kila kitu kiko poa ila tatizo ni hiyo kupitia Recovery mode wakati wa kuwaka


"Android system recovery <3e>
KTU84P. G530HXXU1ANII

Volume up/down to move highlight;
power button to select.

_________________
reboot system now
apply update from ADB
apply update from external storage
wipe data/factory reset
wipe cache partition
apply update from cach
___________________

#MANUAL MODE#
-- Appling Multi - CSC .. .. .
Applied the CSC-code : XTC
Successfully applied multi-CSC.

Pia nilipofungua Super Su kwa mara ya kwanza iliniuliza maswali mawili moja lipo kwenye picha swali jingine ilikua nikui install Normal recovery au CWM/TRWP recovery...Mm nkachagua normal recovery

Msaada wadau wa android niondoe hii issue ya ku boot kupitia recovery mode

a3a9395c64152c5c11caf03e3c78acf7.jpg
 
Wipe cache twone..ukizngua jarbu ku unroot then tafta root client nyngne kama frama root , root genious ujaribu.
 
wipe cache twone..ukizngua jarbu ku unroot then tafta root client nyngne kama frama root ,root genious ujaribu.
sijaona anyware wanaongelea kuhusu unroot ya hii simu...

Nimefanya hiyo Wipe cache ila haijasaidia

Nimejaribu kurudia root procedure ila bado issue iko pale pale
Zaidi ule ujumbe wa super su kuchagua Normal recovery au CWM/TWRP Recovery ndo umejirudia tena

knox waranty void count: 0×0 [emoji22]

b2ff7e793795ed7ef2cfce2ddee498a6.jpg
 
kuunroot either tumia recovery ku-unroot au app ya kuunroot unaweza pata play store
 
sijaona anyware wanaongelea kuhusu unroot ya hii simu...

Nimefanya hiyo Wipe cache ila haijasaidia

Nimejaribu kurudia root procedure ila bado issue iko pale pale
Zaidi ule ujumbe wa super su kuchagua Normal recovery au CWM/TWRP Recovery ndo umejirudia tena

knox waranty void count: 0×0 [emoji22]

b2ff7e793795ed7ef2cfce2ddee498a6.jpg

Basi flash new rom kabisa
 
hiyo ni soft brick just reset flash counter kama vile triangle away
 
Swali: Unatumia custom recovery ipi? Stock au TWRP au ClockWorkMod. Ukijibu hayo nitaendelea.
 
Swali: Unatumia custom recovery ipi? Stock au TWRP au ClockWorkMod. Ukijibu hayo nitaendelea.
Nafikiri hii ni Stock maana nimesoma nkaona hamna CWM/TWRP ya hii simu
Sija modify kitu chochote zaidi ya ku root na ku install apps zinazoitaji sudo
 
Kwahiyo ulitaka ku root bila kuchange recovery sio
 
kama unacustom recovery unaweza ku-unroot kuna package zipo
 
Basi flash new rom kabisa

nipe model yake

sijaweza pata solution mpaka....
Inaonesha kuna wengine walipata hilo tatizo Successfully rooted Galaxy Grand Prime SM-G5â&#8364;¦ - Pg. 12 | Samsung Galaxy Grand Prime | XDA Forums

Ila solution zilizotolewa hazikufaa kwangu....


Nawaza ku flash Stock ROM ila sasa mziki wake ni kwamba,nimetembelea hii site Firmware archive | Samsung Updates

katika hiyo List sijaona ROM inayooendana na nchi na wala inayoendana na Baseband version yangu G530HXCU1ANL4

je kuna hasara ku flash another baseband version?

Kama ipo ni ipi?

au je kuna site nyingine naweza kupata stock ROM ambako wana varieties za Baseband version zote au yangu ikiwemo?

Shukrani

=====EDIT=====
Nimeweza Kupata Baseband version kutoka sam mobile lakini sijui nichague ya Nchi gani
Maana Tanzania hamna ila nimeona South Africa na Nigeria etc
http://www.sammobile.com/firmwares/database/SM-G530H/
 
Back
Top Bottom