Cesar
Senior Member
- Apr 21, 2016
- 143
- 147
Wakuu,
Kwanza nawasalimu wote,pili natoa shukrani za dhati kwenu humu maana kuhusu mambo ya Tech and Gadgets hua nakula shule ya maana humu.
Leo nakuja na ombi/msaada wa jinsi gani naweza kuunganisha internent kwenye PS 4 maana maelekezo wanasema ni dowload playstation app kweny simu yangu ndio niweze fanikiwa,lakini 'playsation app' napata ujumbe not available in your country.
Jambo la pili kama nikiweza kuunganisha internent je naweza ku 'download' games ?
Ni hayo tu wakuu