Msaada wa kutuma maombi ya Mkopo HESLB

Msaada wa kutuma maombi ya Mkopo HESLB

Bwege2030

Member
Joined
May 10, 2025
Posts
82
Reaction score
152
Nimeenda kwenye stationary kwaajili ya kuomba mkopo bodi ya MIKOPO HESLB sasa tumeanza hatuaa wakanambia kuwa wamemaliza ... Sasa nimeingia kwenye akaunti yangu nimekuta pako kama Hivyo kwenye picha...hapo chini.
Je hapo kweli wameshamaliza kuniombea mkopo? Au kuna hatua nyingine? Kama zipo..naombeni mnielekeze nimalizie jamaniiiiii..

###kama hujui usikoment pls!
 
Attachments

  • IMG-20250815-WA0146.jpg
    IMG-20250815-WA0146.jpg
    21.5 KB · Views: 32
Nimeenda kwenye stationary kwaajili ya kuomba mkopo bodi ya MIKOPO HESLB sasa tumeanza hatuaa wakanambia kuwa wamemaliza ... Sasa nimeingia kwenye akaunti yangu nimekuta pako kama Hivyo kwenye picha...hapo chini.
Je hapo kweli wameshamaliza kuniombea mkopo? Au kuna hatua nyingine? Kama zipo..naombeni mnielekeze nimalizie jamaniiiiii..

###kama hujui usikoment pls!
Login hapo. Hapo kwenye alafu screenshot tena nione ujumbe unasema. Au ww utaona hapo status inavyosema
 
Attachments

  • Screenshot_20250815_225850_Chrome.jpg
    Screenshot_20250815_225850_Chrome.jpg
    100.7 KB · Views: 31
Hiyo continue hapo click alafu status inabidi isome hivi
Asante sana Bro! Pia Kuna hili :mbona ile Sehemu tunapoweka page ya 2 na ya 5 nikibonyeza preview inakuja rangi nyeusi tu? Hazionekani
 
Attachments

  • Screenshot_20250815-231117.png
    Screenshot_20250815-231117.png
    35.2 KB · Views: 28
Asante sana Bro! Pia Kuna hili :mbona ile Sehemu tunapoweka page ya 2 na ya 5 nikibonyeza preview inakuja rangi nyeusi tu? Hazionekani
Wew hapo submit hivyo hivyo sema hakikisha tu hizo page zipo sawa alafu form nzima itaji download utaona kila kitu. Hapo uoni kwa sababu unatumia simu na kuna baadhi ya simu unaweza kuona
 
Back
Top Bottom