Naomben msaada katika hilo wadau
weka hiyo tracking number kwenye hii website ( https://www.aftership.com )Nimeshapewa na reseller amesema ka2ma via china post airmail
weka hiyo tracking number kwenye hii website ( https://www.aftership.com
Nimeweka hyo tracking number lakini sijaona courrier ambaye seller wangu alitumia ku2ma mzigo(china post airmail)