Cendy
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 1,252
- 2,314
Wakuu awali ya yote nawasalimu kwa jina la muumba mbingu na nchi.
.
Wakuu simu yangu aina ya Sony xperia ina tatizo la kukata network na kuandika hakuna sim card mara kwa mara
Pia inatatizo la kupoteza kumbukumbu (inaondoa program niliokuwepo awali wakati naitumia)
Nilikuwa naomba kujua tatizo ni nini maana nime restore ndio shida imezidi
Pia naomba kujua kama kuna program ya ku upgrade androids yake au ku boost system yake
Nimekuwa nikisaidiwa sana kwenye jukwaa hili natumaini mtanisaidia pia