Msaada wa kutengeneza SONY XPERIA

Msaada wa kutengeneza SONY XPERIA

Xperia model gani? C6606 c6603 ambazo pia zinajulikana z1 z2 auz3? Ingia setting nenda about phone utaona model yake halafu uje ulete jibu
 
Mi natumia hii Xperia c6603
396ae73bd55d5109f8bfe777dbe32a25.jpg
 
most of now Sony experia are fake .....mi nshawah badilisha sim mbili za aina hiyo tena Z4...... nakushuri uhamie tu huawei
z4 ulinunua wapi hii simu?

nafahamu SONY wana XPERIA, XPERIA Z1, Z2,Z3 NA Z5 hiyo Z4 mmmh naomba kujuzwa zaidi
 
mimi ninayo z5 premium ila siamini kama no org kweli.
 
Aiseh yakwangu xperia s haijai charge ni asilimia 1 ata nikeshe cku tisa so kama kuna fundi wa izo mambo naomba mnijulishe
 
Msaada nami M4 haidetect kwa pc, nmejaribu njia zote na setting zote bila mafanikio pia haina google service, nimpakua lkn haifanyi kazi
 
Kama upo dsm jaribu kwenda kariakoo pale kuna wajanja wa hayo mambo usikate tamaa.mkuu.
 
Back
Top Bottom