Msaada wa kutengeneza bes web based application

dacta_d

Member
Jul 7, 2011
25
3
Wanajamii naombeni msaada wenu katika hili suala, ninataka kutengeneza web based application ambayo inaweza ikatumika katika secta za elimu especially vyuoni, nataka iwe the best, sasa nilikuwa nahitaji topic muhimu (idea) mfano( student registration application,library management application,e-learning etc.) ili nianze kuifanyia kazi,nitafurahi sana nikipata maoni yenu.nahitaji nifahamu features za hiyo application ambazo ndo zitakuwa implemented katika hiyo application.
 
Back
Top Bottom