Ni takriban karibu mwezi umepita account yangu ya Whatsapp ipigwe ban ila najaribu ku log in inaleta hii message.
View attachment 3640398
Nilisha wa tumia email mpaka basi wanasema ni download version original ila bado changamoto iko pale pale
Je watakuwa wamenipga ban mazima?
Kuna mtu kashawahi pata changamoto ya namna hii?
Mwenye kujua namna ya kutatua anisaidie.
kumbe una uzoefu wa kupigwa ban kwenye mitandao mbalimbaliNi takriban karibu mwezi umepita account yangu ya Whatsapp ipigwe ban ila najaribu ku log in inaleta hii message.
View attachment 3640398
Nilisha wa tumia email mpaka basi wanasema ni download version original ila bado changamoto iko pale pale
Je watakuwa wamenipga ban mazima?
Kuna mtu kashawahi pata changamoto ya namna hii?
Mwenye kujua namna ya kutatua anisaidie.
Yes,Kwanza ifute kwa simu.
Alaf download tena via app store au playstore.
Ikigoma nenda browser na download whatsapp apk for adroid.
Hizi option umejaribu?
Aje pm afanye chcht kitu au sioSiwezi kuelekeza ila naweza kutatua hiyo ungekuwa karibu na mimi nifanye Kwa mikono yangu
FactHadi whatsApp wamekupa ban kweli umeshindikana
Sijui itakuaje? Na sipo karibu na maeneo haya ya kawaidaAje pm afanye chcht kitu au sio
mimi sijauliza sababu mkuuHapana ile ilikuwa kwa sababu ya kutumia unofficial apps
Kutoka Kwa meta Hadi melo🤣🤣🙌Hadi whatsApp wamekupa ban kweli umeshindikana
Atume pesa tuu, hakuna kinachoshindikana hapoSijui itakuaje? Na sipo karibu na maeneo haya ya kawaida
Mwisho wa siku ban itaenda hadi kwa melody 😂Kutoka Kwa meta Hadi melo🤣🤣🙌