2jabway JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 1,257 Reaction score 1,398 Jun 13, 2017 Thread starter #61 Inamonga said: Fanya kazi, utajiri haupatikani kirahisi hivyo mkuu.. Click to expand... kwani mi nimesema natafuta utajiri mkuu
Inamonga said: Fanya kazi, utajiri haupatikani kirahisi hivyo mkuu.. Click to expand... kwani mi nimesema natafuta utajiri mkuu
G gmail mkulima Senior Member Joined Jun 11, 2017 Posts 186 Reaction score 114 Jun 14, 2017 #63 Anza kuandaa mikataba na barrick
msanawa Senior Member Joined Nov 27, 2014 Posts 161 Reaction score 177 Jun 28, 2017 #64 2jabway said: Wakuu habari ya jumapili,jana katika pilika zangu za kilimo nikakutana na hivi vipande vya vimawe vinatoa mg'ao je ni dhahabu au kitu gani kwa anaejua msaa pleaseView attachment 518895View attachment 518896 Click to expand... Hizo zinaitwa Golden shining au mavi ya dhahabu mng'ao!!
2jabway said: Wakuu habari ya jumapili,jana katika pilika zangu za kilimo nikakutana na hivi vipande vya vimawe vinatoa mg'ao je ni dhahabu au kitu gani kwa anaejua msaa pleaseView attachment 518895View attachment 518896 Click to expand... Hizo zinaitwa Golden shining au mavi ya dhahabu mng'ao!!
msanawa Senior Member Joined Nov 27, 2014 Posts 161 Reaction score 177 Jun 28, 2017 #65 2jabway said: ok kwa hyo mkuu haina issue yoyote hii kitu maana nilikuwa nalima nikaipata Click to expand... Kuna mama mkanada aliwahi kuwa anazinunua wakati Fulani, so yes zina inshu
2jabway said: ok kwa hyo mkuu haina issue yoyote hii kitu maana nilikuwa nalima nikaipata Click to expand... Kuna mama mkanada aliwahi kuwa anazinunua wakati Fulani, so yes zina inshu
NZURI PESA JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 5,958 Reaction score 2,966 Jul 2, 2017 #66 2jabway said: mkuu hii kitu nilichimba mwenyewe wakati nalima wala sijainunua kokote Click to expand... PELEKA DODOMA MAABARA YA MADINI YA SERIKALI
2jabway said: mkuu hii kitu nilichimba mwenyewe wakati nalima wala sijainunua kokote Click to expand... PELEKA DODOMA MAABARA YA MADINI YA SERIKALI
Kaplizer JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 726 Reaction score 597 Jul 3, 2017 #67 roboka kafwekamo said: Ila akumbuke haraka haraka kuhamisha hiyo ardhi ya chini maana inasemekana ardhi ya juu ni mali yake lakin y chini si mali yake Click to expand... Ardhi yote ni mali ya serikali 2jabway said: nipo ifakara mkuu Click to expand...
roboka kafwekamo said: Ila akumbuke haraka haraka kuhamisha hiyo ardhi ya chini maana inasemekana ardhi ya juu ni mali yake lakin y chini si mali yake Click to expand... Ardhi yote ni mali ya serikali 2jabway said: nipo ifakara mkuu Click to expand...