M Mama Mwamba Member Joined Feb 16, 2012 Posts 15 Reaction score 1 Oct 18, 2012 #1 kuchoreka kushoboka maunguli (wa filamu) Na pia eti kuna gari TZ linaitwa Skylet/Scarlet? Asanteni! 🙂
kuchoreka kushoboka maunguli (wa filamu) Na pia eti kuna gari TZ linaitwa Skylet/Scarlet? Asanteni! 🙂
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,611 Oct 18, 2012 #2 kuchoreka ni sawa na kusema 'kumtazama mtu huku yeye hajijui kuwa anatazamwa au ku enjoy kumtazama mtu huku yeye haoni au yuko aware kuwa anatazamwa kushoboka noi sawa na 'kupapatikia' au kujipendekeza... nguli, ni sawa na kusema 'mahiri' kwa hiyo manguli wa filam ,ni sawa na kusema waigizaji 'mahiri' au 'wakubwa' wa filam... hiyo gari ni toyota starlet......
kuchoreka ni sawa na kusema 'kumtazama mtu huku yeye hajijui kuwa anatazamwa au ku enjoy kumtazama mtu huku yeye haoni au yuko aware kuwa anatazamwa kushoboka noi sawa na 'kupapatikia' au kujipendekeza... nguli, ni sawa na kusema 'mahiri' kwa hiyo manguli wa filam ,ni sawa na kusema waigizaji 'mahiri' au 'wakubwa' wa filam... hiyo gari ni toyota starlet......