Msaada wa kuset 3/4g katika sony xperia z4

ok nashukuru kwa msaada wako ila ndio hivyo sina ujanja wamenikamata. maana hata inanet natumia zaidi wireless nahesabu nishaibia hizo fedha,
 
na mimi mwenyewe nimejaribu kutangalia katika device inaniletea leimin katika internet nimecheck ni vitu vya ajabu havihusiani na simu, brand lmkj na ni kituko inabidi nicheke tu board plsale 777 ni jina la mtaa. nikaanagalia na samsung mini vyote vinamaanisha simu.
 
kwa 2015 hakikisha simu yako ni 64bit na pia ina 4g.

hapo ongeza kidogo tafuta simu kama huawei y550 utapata simu nzuri tu.

hii huawei nimecheki specification zake naiona iko poaw...dukani inauzwa shiling ngapi.?
 
ok nashukuru kwa msaada wako ila ndio hivyo sina ujanja wamenikamata. maana hata inanet natumia zaidi wireless nahesabu nishaibia hizo fedha,

yako haina 4g? maana 4g ndio kama 3g

nenda setting then kwenye wireless and network nenda more then mobile network angalia network type eka 4g
 
Kuna jamaa zangu sio wazoefu wa simu, walinunua z4 mchina... Zina 2g na 4g tu.. Simu zinakera ni hamna.... Unachofaidi ni screen kubwa na umbo la simu!

Sasa hivi kuna Sony nyingi fake zipo sokoni, na ni fake haswa...!
Na wasiojua wanapigwa sana, kuna mmoja aliniambia kanunua Sony Z2, nikamuuiza bei, akasema laki 2, nikamhurumia tu. Siku chache mbele analalamika Sony zinasumbua mtandao upo weak.
 
na mimi mwenyewe nimejaribu kutangalia katika device inaniletea leimin katika internet nimecheck ni vitu vya ajabu havihusiani na simu, brand lmkj na ni kituko inabidi nicheke tu board plsale 777 ni jina la mtaa. nikaanagalia na samsung mini vyote vinamaanisha simu.

teh teh uyo alyekuuzia simu nilimsikua akisema atamkamata boya wake tu ni kwamba alibandua screen protector kwa juu kidogo alaf akabandka hyo logo ya SONY kwa ndani then akagundishia vzur sikujua kama atampata mteja kumbe kuna mtu keshaliwa pole sana kwa kupigwa kiini macho kwani alikuuzia sh ngap
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom