Msaada wa kupakua mziki YouTube

Msaada wa kupakua mziki YouTube

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
3,573
Reaction score
4,849
Mimi ni mpenzi wa muziki na miaka 3 nyuma nilikuwa naweza kupakua miziki niitakayo kutoka YouTube yeyotena kuisave ili kuiplay kutumia y2mate lakini kwa sasa naona nakwama.

Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kuipata tena maana miziki mixes, freestyle kama za kina nasty nazikosa.
 
Tumia app zingine sio YouTube
Vidmet
Snaptube
 
Kama unatumia computer, ukishafungua video unayoitaka,

Pale juu kwenye URL, ONDOA herufi tatu za mwisho kwenye youtube.com, isome kama yout.com minya enter itakuletea menyu ya ku download.

Thanks me latter
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom