Whatsapp ya mwanzo ilikuwa inapendwa na wengi hadi watu wazima haikuwa mambo mengi ya utoto kam fb,snapchat au instagram..hii sas imekuwa complecation nyingi..status unaweka picha masaa 24 inafutka..kwa watu ambao wapo busy na mambo yao usumbuf mwing,kutafut contanct mpak ubonyeze bahasha juu kule..hii version mpya chenga saan