Ryanvonryx
Member
- Dec 24, 2016
- 19
- 8
Mkuu hata mimi hii update mpya ya whatsapp siielewi kabisa hasa hapa kwenye STATUS ngoja waje wataalamu watuelewesheDah wadau naomba msaada wasap hii update naona ngumu kwangu kutumia
Naomba mnielekeze jinsi ya kirudisha ile ya zaman kwo yeyote anayeweza naomba msaada
Hata me inanisumbua sana hasa hapa kwenye STUTAS inakuaje hapo mkuuuHile ya zamani ni expired version. Jifunze ivo ivo tu utajua... Teknolojia huwa hairudi nyuma.
Mkuu naomba unielekeze jinsi ya kutumia hasa hapa kwenye status inakuaje???Whatsapp inataka kufanana na insta na snapchat
Mi nilivyoona ni kwamba kama unataka kushare picha kama vile kwenye instagram ndo unafungua pale kwenye status halafu my status unaweka picha au video. Contacts wako wakifungua kwenye status pale chini wanaona picha /video uliyoshare.Mkuu naomba unielekeze jinsi ya kutumia hasa hapa kwenye status inakuaje???
Kwanza uniinstall hiyo version mpya...then ingia Google... Search Whatsapp apk idownload then install kwenye simu yakoDah wadau naomba msaada wasap hii update naona ngumu kwangu kutumia
Naomba mnielekeze jinsi ya kirudisha ile ya zaman kwo yeyote anayeweza naomba msaada
Contact nenda kwenye ka alama ka meseji juu kuliaKwanza uniinstall hiyo version mpya...then ingia Google... Search Whatsapp apk idownload then install kwenye simu yako
NB; Unapodownload hiyo apk angalia version yake ulinganishe na hii mpya iliyopo kwako..kama hiyo version inafanana na hii mpya achana nayo na pakua ya zamani
.Angalia hii picha hapa chini
Ningekuwa hata nisinge update. Hii new version inazingua Sion contact
Halafu huko tunapoelekea inaonesha whatsapp wanaongeza baadhi ya features kila mara wanapotoa toleo jipya (new version).... SASA CHA KUFANYA NI SIMPLE TU...USIUPDATE WHATSAPP KWENYE GOOGLE PLAYSTORE AU KWENYE APP STORE YAKO TENA NA IKIWEZEKANA FUTA AU ZUIA 'AUTOMATIC UPDATES' ZA APPLICATION KWENYE SETTINGS ZA Playstore and App store...... Kwa kufanya hivi utabaki na Version yako ya zamani ambayo haitokupa shida kuitumia kwa maana utakuwa ume restrict/zuia zile automatic updates.Kwanza uniinstall hiyo version mpya...then ingia Google... Search Whatsapp apk idownload then install kwenye simu yako
NB; Unapodownload hiyo apk angalia version yake ulinganishe na hii mpya iliyopo kwako..kama hiyo version inafanana na hii mpya achana nayo na pakua ya zamani
.Angalia hii picha hapa chini
Kawaida usipo update WhatsApp kwa muda itafika muda inakugomea kabisa kufunguka Mkuu,kama hapa kwenye pichaHalafu huko tunapoelekea inaonesha whatsapp wanaongeza baadhi ya features kila mara wanapotoa toleo jipya (new version).... SASA CHA KUFANYA NI SIMPLE TU...USIUPDATE WHATSAPP KWENYE GOOGLE PLAYSTORE AU KWENYE APP STORE YAKO TENA NA IKIWEZEKANA FUTA AU ZUIA 'AUTOMATIC UPDATES' ZA APPLICATION KWENYE SETTINGS ZA Playstore and App store...... Kwa kufanya hivi utabaki na Version yako ya zamani ambayo haitokupa shida kuitumia kwa maana utakuwa ume restrict/zuia zile automatic updates.
Nadhani umepata mwanga kidogo hapo!!
Ningekuwa hata nisinge update. Hii new version inazingua Sion contact
http://download.latestmodapks.com/GBWA-v5.30-2.17.24.apkWakubwa mwenye link ya GB WHATSAP naomba anisaidie kwa kuitupia hapa.