King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,851
- 95,073
Du Miaka 24 kilo 94????? Aiseee noma sana!!
𝑴𝒔𝒂𝒂𝒅𝒂 𝒘𝒂 𝒌𝒖𝒑𝒖𝒏𝒈𝒖𝒂
𝑴𝒊𝒂𝒌𝒂 24 𝒌𝒊𝒍𝒐 94View attachment 2646279
diet inayokufaa kama kijana chipukizi𝑴𝒔𝒂𝒂𝒅𝒂 𝒘𝒂 𝒌𝒖𝒑𝒖𝒏𝒈𝒖𝒂
𝑴𝒊𝒂𝒌𝒂 24 𝒌𝒊𝒍𝒐 94View attachment 2646279
diet inayokufaa kama kijana chipukizi
ukiamka asubuh tembea km 2 rudi hom oga halaf kunywa chai kavu
ikifika saa 11 jion kula msos wa kawaida kutuliza njaa tu sio mpaka ushibe,
ikifika usiku mtafute dem wako kapige mechi halaf kunywa maji tu ulale
next morning repeat the routine
Pole sana, kama ni kweli na upo serious nicheki PM. Nitakusaidia na malipo ni baada ya matokeo, sitahitaji pesa yako hadi utakapofikia uzito unaoutaka wewe.𝑴𝒔𝒂𝒂𝒅𝒂 𝒘𝒂 𝒌𝒖𝒑𝒖𝒏𝒈𝒖𝒂
𝑴𝒊𝒂𝒌𝒂 24 𝒌𝒊𝒍𝒐 94
𝙉𝙖𝙤𝙢𝙗𝙚𝙣𝙞 𝙙𝙖𝙬𝙖 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙥𝙪𝙣𝙜𝙪𝙯𝙖 𝙢𝙬𝙞𝙡𝙞 𝙆𝙒𝘼 𝙜𝙝𝙖𝙧𝙖𝙢𝙖 𝙮𝙤𝙮𝙤𝙩𝙚View attachment 2646279
Yaani hii ni the best... Haiangushi kabisaNimetoka kumshauri mwenzako kama wewe huko....
Fanyeni Intermittent fasting....
suala la kazi hajaomba ushauri hvyo atapanga mwenyewe mda wa kaz na mda wakufany dietHafanyi kazi ya kutafuta pesa?
Mwili Fulani HiviChemsha mdalasini mpaka ubadilike kama chai ya rangi kunywa asubuhi na jioni.
Kuna mdalasini wa unga na magome
Usiweke sukari
Unaharufu Kali hivyo ukinywa Minya pua, ili usijekinai...
Mi ninakamwili fulani hivi...[emoji23]
Kabisa...Yaani hii ni the best... Haiangushi kabisa
Sure, yaani hiyo mie huwa naweza punguza hata kilo 3 kwa wiki ya kwanza ninapoanzaKabisa...
Mimi ndiyo naifanya sasa hivi, Nayaona Matokeo makubwa sana..