Msaada wa kupungua Uzito wa Mwili

Msaada wa kupungua Uzito wa Mwili

๐‘ด๐’”๐’‚๐’‚๐’…๐’‚ ๐’˜๐’‚ ๐’Œ๐’–๐’‘๐’–๐’๐’ˆ๐’–๐’‚
๐‘ด๐’Š๐’‚๐’Œ๐’‚ 24 ๐’Œ๐’Š๐’๐’ 94

๐™‰๐™–๐™ค๐™ข๐™—๐™š๐™ฃ๐™ž ๐™™๐™–๐™ฌ๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฅ๐™ช๐™ฃ๐™œ๐™ช๐™ฏ๐™– ๐™ข๐™ฌ๐™ž๐™ก๐™ž ๐™†๐™’๐˜ผ ๐™œ๐™๐™–๐™ง๐™–๐™ข๐™– ๐™ฎ๐™ค๐™ฎ๐™ค๐™ฉ๐™šView attachment 2646279
Watafute forever Living wana program ya C9 ya kupunguza uzito na kafriji hako
 
Sure, yaani hiyo mie huwa naweza punguza hata kilo 3 kwa wiki ya kwanza ninapoanza
Mimi nina mwezi sasa naifanya....
Kg's zilizoondoka binafsi najishangaa....

Halafu ukishaizoea hata ile kula kula hovyo inapotea..
 
Ni kweli kabisa. Nilikuwaga na cravings za sukari lakini siku hizi hata sina... Yaani zinapungua tu.. Sema kwa ambao hawajazoea ni ngumu

Mi nafanya 20 hours fasting na 4 hours eating. I'm loving it
 
Good..Hongera sana...

Yah...Mwanzoni ni ngumu sana...Mimi mwenyewe nilikuwa ni mpenzi wa soda sana... Imagine soda 2/3 kwa siku ilikuwa kawaida kabisa...Ila sasa hivi namaliza hata wiki bila kutamani...na ikatokea nikanywa chupa simalizi...

Mimi mwanzoni nilianza masaa 8-12...ila sasa hivi naenda hadi 24 si haba...

Nimefurahi mno kusikia nawe unafanya hii...
 
Asante maa, hongera na wewe. 24 hours sijajaribu but I like the challenge, naweza ijaribu this week nione jinsi mwili unarespond. Halafu uzuri hii mwili ukizoea unakuwa hutamani kuacha.
 
Ahsante kipenzi....

Yah!!! Ijaribu na hii ya 24 then utaniambia...
Kama ya 20 unaweza na hii utaiweza haitakushinda..Maana tayari wewe umeshazoea....
 
Back
Top Bottom