Msaada wa kupata sponsor atakae support NGO

Faru dume

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
471
116
Poleni wadau,

Naombeni kufahamu ni jinsi gani naweza kupata sponsor atakae support NGo yetu na njia zipi tupitie tuweze kupata huo ufadhili pamoja na donnors watakao support baadhi ya mipango miradi tuliyoindaa.

Nafahamu wapo wataalam humu watakao tusaidia kufikia malengo yetu.

Asanten na karibuni
 
Inahusu nn hyo NGO yenu? Fafanua kdg mnafundisha kucheza ngoma au?
 
Ndugu, kupata donor foundations kusaidi kazi zako si jambo lelemama you have a long way to go if you are in early stage of start up. Donor foundations zinatoa grants kwa CBO/NGO wanazoweza kuziamini sana. Sasa hapa you need to establish a long relationship with your donors first. Kama plans zako nikupata "washiriki wa maendeleo" kutoka ng'ambo I advise you tafuta NGO professional akusaidie maana inaonyesha huna uzoefu.

Kuweza kujenga NGO/CBO inahijati skills, commitment and lots of connections with experienced ppl and donor foundation to support your mission.
 
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako,sasa naanza kupata picha kamili.
 
Mkuu hiyo website yenu bado inahitaji matengenezo. Content bado na structure ya website inachanganya sana. Hao Magor Interiox waliotengeneza hiyo template ya website, wameitengeneza ki-business zaidi hata wenyewe wanasema hivyo, kwanza wameacha ma-logo yao katikati ya website yako... Mkuu tafuta web designer/developer akutengenezee website alafu tafuta mtu/watu wabobezi kwenye mambo ya NGOs na mambo ya maswala ya jamii wakuwekee content simple, inayoeleweka na itakayovutia wafadhili na wasamaria.
 
Sawa mkuu...nashukuru kwa ushauri wako
 
PM....tufikie lengoTE="Faru dume, post: 16163079, member: 112124"]Poleni wadau,

Naombeni kufahamu ni jinsi gani naweza kupata sponsor atakae support NGo yetu na njia zipi tupitie tuweze kupata huo ufadhili pamoja na donnors watakao support baadhi ya mipango miradi tuliyoindaa.

Nafahamu wapo wataalam humu watakao tusaidia kufikia malengo yetu.

Asanten na karibuni[/QUOTE]
Nipe
 
Back
Top Bottom