Msaada wa kupata ribbon za typewriter

Msaada wa kupata ribbon za typewriter

Kumar Singh

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
1,027
Reaction score
2,316
Habari zenu wakuu.

Naomba kujua sehemu gani hapa Dar es salaam naweza kupata ribbon za kwenye typewriter maana nimezunguka katika stationary kadhaa sijapata hizi vitu.
 
Samahani nko nje ya maada, Hivi typewriter zipo naweza nkapata na mm moja maana leo nlikuwa nawaza iko kitu
 
Back
Top Bottom