Abdul Bilal
Member
- Jul 29, 2017
- 88
- 15
Net ninayo na ni rahisi tuinternet huna? au ni ghali sana
nenda playstore kadownload app ya azam tv na app ya ITV utapata chanell hiziNet ninayo na ni rahisi tu
Tafuta satelite huska ambayo station unayotaka kuangalia uone kama foot print coverage inafika mpaka huko toka huku sub saharaShukran
Ila mm nataka iwe kwa tv i mean sattelite
Maana hizo app nimejaribu zote ila naona zinasumbua tu
Ndio maana nataka sattelite nipate freq zake iwe daima
kutokana na footprint ya intelsat naona IRAN unaipata hii satelite ya local tvShukran
Ila mm nataka iwe kwa tv i mean sattelite
Maana hizo app nimejaribu zote ila naona zinasumbua tu
Ndio maana nataka sattelite nipate freq zake iwe daima
Yaaah itabidi nifanye hivyokutokana na footprint ya intelsat naona IRAN unaipata hii satelite ya local tv
details zake
Satellite Name: Intelsat 906 (IS-906)
Status: active
Position: 64° E (64.15° E)
link ya frequency
Intelsat 906 at 64.2°E - LyngSat
unaweza muita fundi ukampa hizo details, dish ni lile kubwa la futi 6 na ni C LNB zile kubwa sio KU hivi vidogo.
ila.am not sure 100% kwenye hizo footprints nimetumia tu akili, ngoja waje wataalam wa madishi waprove kwanza.
EUTELsat ni azam tv, sidhani kama beam yake inafika asia. Ni africa tu.Yaaah itabidi nifanye hivyo
Maana pia hata eutelsat naona wameweka freq zao
Sasa sijajua ni zimekaa vipi
Shukran sana mkuu
Ipo na hapa ndiyo nitumiayoEUTELsat ni azam tv, sidhani kama beam yake inafika asia. Ni africa tu.
sasa mkuu kwa nini usitumie hio Azam kupata za Kibongo?Ipo na hapa ndiyo nitumiayo
QomUko Mji gani Mkuu
Teheran..Shiraz...Busheir..Assaluya..Kish Island...au Khak.