Msaada wa kuondoa hiki kitu!7go.com

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Nilijikuta nimeingia kwenye application lakini kumbe spyware ikaingia kwenye toolbar yangu na kila nikitakakutoa kimeshindikana ni ka unstall Mozilla ila kwenye explorer akipo kitu chenyewe kinaitwa 7go.comNisaidieni jinsi ya kukiondosha!Nimeisha google maelezo nimepata lakini wapi!Msaada msaada ndugu!
 
kaka nenda control panell halafu remove/add program nenda ka uninstall program inayoitwa 7go
 
Ni pm kesho email yako nkutumie software moja ndogoooo ka 120 KB ila ni noma!!
 
Mkuu hiyo nimecheck lakini kaspersky imesema ni trojan
View attachment 113220


ok kerspesky inasema trojan, hizo ndo anti virus na kazi zake,, fanya kui disable antivirus kwa mda then run hiyo tool... antiviruses are not perfect we jiulize kwa nn hilo tatizo la 7go linasumbua computer yako na kersperky imo tu mda wote inachekelea haaa haa (joke) haijadetect hicho kitu...afterall 7go ni hacking tool na ni trojan pia lakini hiyo kerspersky haijaweza kugundua hilo na imebidi utumie njia mbadala.... kama kerspesky ingekuwa perfect ingeanza na hiyo 7go otherwise unahitaji kujua zaidi kuhusu hizi issue.... ""umenielewa"
 
Asante mkuu kwa maelezo yakina atimae nimefanikiwa nilienda kwenye mozilla add ons nikaikuta hiyo 7go.com maana nilibidi ni ulize goole nikapewa maelezo yakina kutoka vyanzo mbalimbali japo hapo nyuma nilikuwa nimeisha ulizia sikupata jibu leo nimefanikiwa asante kwakuonyesha unajali thank you mkuu!!
 

pa1 mkuu "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…