jumanne12
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 420
- 274
Nitaongeza mbao nyingine mbovu ambazo zinaoza kirahisi maana mmiliki wa nyumba hiyo alifurahia kununua mbao za bei nafuu sasa hayo ndio majibu tusipende mteremko bila kupanda mlima ndugu yangu siku zote bure aghaliTatizo kadiri wanavyoendelea kula mwisho wake paa litakushukia siku moja mkuu Jumanne12