Msaada wa kuoata scholarship

Chimunu

Senior Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
159
Reaction score
25
HAbar wana jukwaa mm ni muhitim nna shahada ya elimu .ninahitaji kupata udhamini wa kwenda kusoma digrii ya pili katika nchi yoyoye ile au hata apa tanzania .lkn shida ni namna gani nna weza kuoata izo nafasi za kudhaminiwa katika nchi mbali mbali km vile denmark,norway na zingine .mwenye kufaham anisaidie tafadhar
 
wewe ni mhitimu wa chuo gani? je umefaulu kwa kiwango gani? (GPA), degree unayotaka kusoma ni ya fani ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…