HAbar wana jukwaa mm ni muhitim nna shahada ya elimu .ninahitaji kupata udhamini wa kwenda kusoma digrii ya pili katika nchi yoyoye ile au hata apa tanzania .lkn shida ni namna gani nna weza kuoata izo nafasi za kudhaminiwa katika nchi mbali mbali km vile denmark,norway na zingine .mwenye kufaham anicheki kwa sms 0754046326