Onyinyeme
Senior Member
- Aug 13, 2014
- 123
- 36
Salaam kwenu wadau! nina ndoa ya miaka 10
Naona kadri siku zinavyoenda nahisi uhitaji hii huduma muhimu, kwa miaka yote hiyo nimekuwa mwaminifu sijawahi kuchepuka, lakini nowadays hitaji langu liko juu sana ninapata hamu ya kudo kuliko kawaida! niko kwenye early 30's.
Huby yuko early 40's.muda wote tulioishi pamoja amekuwa hana hamu ya kudo kabisa, akijitahidi ni kamoja tu hawezi rudia tena.
Mara chache yeye kuwa na hamu ,na hili jambo ni kama halimpi shida.
Naombeni mawazo yenu nifanye nini'coz sipendi kuchepuka!mume wangu tunapendana,tumejaliwa watoto 3.
Jamani eeh tatizo la kupungukiwa nguvu lipo sana!msinibeze naombeni mawazo ya kunijenga.:A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109:asante.
Msaada wenu pliiiiiz