Msaada wa kumpendezesha.

Top lemon..mh! lkn acjaribu..mwmbie akutajie alivyozoea ku2mia au hajawahi ha! ha!...

mhh jaman, niliwahi kumnunulia lotion ya 'PYAA" 4 Sure ilimkubali, ila kwa sasa hazipatikani madukani even maduka makubwa ya k/koo
 
huwa nasikia cream za aloevera nazo hazichubui, japo cjui hata jina moja...je kuna ukweli ndani ya hili? zinaitwaje..
 
inaweza kuwa ni Ashanti, ila ashanti nayoijua mie ni kampuni ya madini ndio inamiliki GGM.
 
Sabuni ya liwa au manjano, they havent disapointed me! Let her try.
 
kwanza ujue ana ngozi aina gani?
Au mpelekee sabuni natural, ya liwa,ukwaju au limao....tahadhari kama itampenda isipompenda imekula kwake......

Kama vipi nenda nae maryrose akachague product zitakazomfaa
 
Mnunulie shower gelly nzuri, dodoki, lotion ya Palmer's na Ambi cream for face, havichubui, vinaibua your real colour
 
Zipo products za Alovera za kujichubua na zisizo za kujichubua, angalia products nzuri mbalimbali kwenye google
huwa nasikia cream za aloevera nazo hazichubui, japo cjui hata jina moja...je kuna ukweli ndani ya hili? zinaitwaje..
 
704921_fpx.tif

1067700_fpx.tif

853084_fpx.tif
769782_fpx.tif
 
Halafu mtu anatakiwa kula vyakula vya kutosha vyenye virutibisho mbalimbali, sio kutegemea vitamin E, A, kwenye Lotion zaidi, eat balanced diet, kilichopikwa kwa kiwango kinachofaa, sio mchicha mpaka unakuwa mweusi, kunywa maji ya kutosha, kisha use vipodozi vizuri utakuwa poa, pia epuka kukaa kwenye jua kali kw muda mrefu, mtoto wa kike tembea na kile kimwavuli kifupi cha kuweza kukaa kwenye handbag kama huna gari
 
jaman nimeenjoiiije....i hop my x gona b more beauty,...haya jamani TUGEUKIE MAFUTA YA NYWELE, ILI NYWELE ZIONEKANE ZENYE AFYA, NYEUSI NA ZENYE MNG'AO PLEASE FOR BOTH GIRLS AND MEN....AU TUIANZISHIE THREAD?
 
Back
Top Bottom