Naomba msaada wa maelekezo namna ya kukata rufaa toka mahakama Kuu kitengo cha ardhi kwenda Court of appeal. shitaka lilianzia mahakama ya wilaya kitengo cha ardhi (land tribunal).
Kuna vitu vinachanganya: siku 14 to lodge intention to appeal, 30 days from the ruling date, lodge memorandum of appeal etc. Vinachanganya sana